Katka picha ya pamoja Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Bia
ya Serengeti Steve Gannon(kushoto)pamoja na mwandaaji wa mashindano ya
Ireland Society of Tanzania Golf Championship(kulia)
Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve
Gannon(kulia) akikabidhi Kombe kwa wachezaji wa timu ya Zimbabwe ambao
waliibuka washindi katika mashindano hayo mwishoni mwa wiki.
Kumbe nyie Wa Irish mwavaa Misuli ya viunoni kama siye Wazigua na Wapemba?
ReplyDeleteOhooo!
ReplyDeleteSasa Mjomba Michuzi umeikata picha isionyeshe Mzungu amevaa shuka la Drafti kiunoni?, tena na Mikanda ?
Au unaogopa Masharo wa Kibongo wataiga?, hiyo ni jadi ya baadhi ya Makabila Tanzania kuvaa shuka viunoni !