Katka picha ya pamoja Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Bia
ya Serengeti Steve Gannon(kushoto)pamoja na mwandaaji wa mashindano ya 
Ireland Society of Tanzania Golf Championship(kulia)
  Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve
Gannon(kulia) akikabidhi Kombe kwa wachezaji wa timu ya Zimbabwe ambao 
waliibuka washindi katika mashindano hayo mwishoni mwa wiki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kumbe nyie Wa Irish mwavaa Misuli ya viunoni kama siye Wazigua na Wapemba?

    ReplyDelete
  2. Ohooo!

    Sasa Mjomba Michuzi umeikata picha isionyeshe Mzungu amevaa shuka la Drafti kiunoni?, tena na Mikanda ?

    Au unaogopa Masharo wa Kibongo wataiga?, hiyo ni jadi ya baadhi ya Makabila Tanzania kuvaa shuka viunoni !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...