Mbunge wa Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa  (kushoto) akimnadi mgombea udiwani wa kata ya Nduli Ayub Mwemba  leo wakati wa uzinduzi wa kampeni kwa Chadema
Mgombea udiwani wa kata ya Nduli Ayub Mwemba  akihutubia leo wakati wa uzinduzi wa kampeni kwa Chadema
Mbunge wa Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa  (kushoto) akiendelea kumnadi mgombea udiwani wa kata ya Nduli Ayub Mwemba  leo wakati wa uzinduzi wa kampeni kwa Chadema

Kwa picha na habari kamili BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ni siku na saa za kazi? uchovu wa sikukuu na mapumziko yake? picha zimepigwa kiunazi? au kuna lingine.....naulizia juu ya idadi ya watu waliofika kusikiliza sera za mgombea........???????

    ReplyDelete
  2. Chadema inapoteza mvuto,kiunazi wapi wakati unaona mtu ndio ashanyanyuliwa mkono na ni watoto ndio wanampungia? Wajirekebishe. Licha ya kuwepo mbunge hali ni hiyo. Mheshimiwa kabati lazima achukua Iringa mchini 2015 inshaallah!

    ReplyDelete
  3. PICHA ZIMEPIGWA KUELEKEA UPANDE MMOJA PIA MPIGAPICHA SI WA CHADEMA HIVYO NAYE ANAMALENGO YAKE NA MAELEKEZO ALIYOPEWA VIVYOHIVYO NDIVYO ULIVYO UINGIZAJI MAONI KWENYE BLOG HII.

    ReplyDelete
  4. wa pili, acha hizo. Hivi sasa kumbe chadema ni wa kutafuta kwa tochi mpaka mpiga picha akae vizuri? Kwisha kazi, chezea CCM wewe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...