Mbunge wa Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa (kushoto) akimnadi mgombea udiwani wa kata ya Nduli Ayub Mwemba leo wakati wa uzinduzi wa kampeni kwa Chadema |
Mgombea udiwani wa kata ya Nduli Ayub Mwemba akihutubia leo wakati wa uzinduzi wa kampeni kwa Chadema |
Mbunge wa Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa (kushoto) akiendelea kumnadi mgombea udiwani wa kata ya Nduli Ayub Mwemba leo wakati wa uzinduzi wa kampeni kwa Chadema |
Kwa picha na habari kamili BOFYA HAPA |
Ni siku na saa za kazi? uchovu wa sikukuu na mapumziko yake? picha zimepigwa kiunazi? au kuna lingine.....naulizia juu ya idadi ya watu waliofika kusikiliza sera za mgombea........???????
ReplyDeleteChadema inapoteza mvuto,kiunazi wapi wakati unaona mtu ndio ashanyanyuliwa mkono na ni watoto ndio wanampungia? Wajirekebishe. Licha ya kuwepo mbunge hali ni hiyo. Mheshimiwa kabati lazima achukua Iringa mchini 2015 inshaallah!
ReplyDeletePICHA ZIMEPIGWA KUELEKEA UPANDE MMOJA PIA MPIGAPICHA SI WA CHADEMA HIVYO NAYE ANAMALENGO YAKE NA MAELEKEZO ALIYOPEWA VIVYOHIVYO NDIVYO ULIVYO UINGIZAJI MAONI KWENYE BLOG HII.
ReplyDeletewa pili, acha hizo. Hivi sasa kumbe chadema ni wa kutafuta kwa tochi mpaka mpiga picha akae vizuri? Kwisha kazi, chezea CCM wewe.
ReplyDelete