Dear All,

Among 9 names we sent to the President's Office in Dar es Salaam, Mr. Kadari Singo has been selected to represent the Diaspora in the coming Special Parliament Session on Constitutional Review.
We will let you know on how you can participate in getting our opinions together and have one voice from the Diaspora in regards to the Review of the Constitution.
With Kind Regards,
Dr. Ndaga Mwakabuta,
DICOTA President

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ahsante sana kwa kutupa taarifa hii muhimu kwetu. Kazi ya ndugu yetu huyo ni nzito, nawaomba wanadiaspora wote tumpe ushirikiano mwenzetu ili atuwakishe na kutoa maoni yetu.
    Ni nafasi ya pekee kabisa, hakuna nafasi kama hii itakuja kutokea. Katiba ni kitu kikubwa sana ni maisha ya watu. Tusije kuanza kutoa malalamiko yasiyokuwa na misingi na kumlaumu mtu.
    Mungu Ibariki Tanzania.
    - Mr Mhoja - Sweden

    ReplyDelete
  2. Dr. Ndaga Mwakabuta; rudi nyumbani Tanzania; ukaendeleze nchi. University of Dar es Salaam wanakuhitaji; pamoja na area nzima ya Electrical Systems. Tanzania bado wataalam wachache; uwepo wako Tanzania utatambulika, kuliko huko uliko; ambako wataalam wanao wakutosha

    ReplyDelete
  3. Mwakabuta, siye tunaomba jamaa atuwakilishe mawazo yetu na asimamie tunachotaka, na kinaeleweka wazi. Asikae tu, bali aongee na kuwakilisha umuhimu wetu kwa TAIFA. La sivyo lazima tutashikana mashati baadaye.

    ReplyDelete
  4. Kweli kabisa Dr. Ndaga utasaidia zaidi nyumbani kuliko huko kwenye baridi. Tunakuomba rudi nyumbani Tanzania, University of Dar es Salaam na fani ya Electrical Systems wanakuhitaji zaidi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...