Dear All,
Among 9 names we sent to the President's Office in Dar es Salaam, Mr. Kadari Singo has been selected to represent the Diaspora in the coming Special Parliament Session on Constitutional Review.
For more information click here: http://dicotaus. org/wp-content/uploads/2014/ 02/MAJINA-YA-WAJUMBE-WA-BUNGE- MAALUMU-LA-KATIBA.pdf
We will let you know on how you can participate in getting our opinions together and have one voice from the Diaspora in regards to the Review of the Constitution.
With Kind Regards,
Dr. Ndaga Mwakabuta,
DICOTA President
Ahsante sana kwa kutupa taarifa hii muhimu kwetu. Kazi ya ndugu yetu huyo ni nzito, nawaomba wanadiaspora wote tumpe ushirikiano mwenzetu ili atuwakishe na kutoa maoni yetu.
ReplyDeleteNi nafasi ya pekee kabisa, hakuna nafasi kama hii itakuja kutokea. Katiba ni kitu kikubwa sana ni maisha ya watu. Tusije kuanza kutoa malalamiko yasiyokuwa na misingi na kumlaumu mtu.
Mungu Ibariki Tanzania.
- Mr Mhoja - Sweden
Dr. Ndaga Mwakabuta; rudi nyumbani Tanzania; ukaendeleze nchi. University of Dar es Salaam wanakuhitaji; pamoja na area nzima ya Electrical Systems. Tanzania bado wataalam wachache; uwepo wako Tanzania utatambulika, kuliko huko uliko; ambako wataalam wanao wakutosha
ReplyDeleteMwakabuta, siye tunaomba jamaa atuwakilishe mawazo yetu na asimamie tunachotaka, na kinaeleweka wazi. Asikae tu, bali aongee na kuwakilisha umuhimu wetu kwa TAIFA. La sivyo lazima tutashikana mashati baadaye.
ReplyDeleteKweli kabisa Dr. Ndaga utasaidia zaidi nyumbani kuliko huko kwenye baridi. Tunakuomba rudi nyumbani Tanzania, University of Dar es Salaam na fani ya Electrical Systems wanakuhitaji zaidi.
ReplyDelete