Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Lugha usiyoijua ina matatizo.Kuna mswahili aliyependa sana kumwonyesha hayati baba kuwa naye afahamu kiarabu. Basi kila tukipita karibu ya nyumba yake hutukaribisha "kelb,kelb" Mzee akasema akiendelea kuniita kelb siku moja nitamuuma.
    ibrahim

    ReplyDelete
  2. hahahahahahaha hahahahahaha

    ReplyDelete
  3. Ibarahim, sina mbavu kwa kucheka. Mwenyeez Mungu amrahamu hayati baba yako huko aliko. Kiasi mzee wako akereke, maana 'Kelb' kwa kiarabu ni Mbwa. Labda huyo mswahili alikuwa akikusudia kusema 'Karbu,Karbu' akimaanisha kuwakaribisha kiamboni kwake kila mlipokuwa mkipita. Hizi lugha wakati mwingine mashaka...lol

    ReplyDelete
  4. Mbavu zangu....jamani! nimechekaje?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...