Home
Unlabelled
aluta kontinyua...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Lugha usiyoijua ina matatizo.Kuna mswahili aliyependa sana kumwonyesha hayati baba kuwa naye afahamu kiarabu. Basi kila tukipita karibu ya nyumba yake hutukaribisha "kelb,kelb" Mzee akasema akiendelea kuniita kelb siku moja nitamuuma.
ReplyDeleteibrahim
hahahahahahaha hahahahahaha
ReplyDeleteIbarahim, sina mbavu kwa kucheka. Mwenyeez Mungu amrahamu hayati baba yako huko aliko. Kiasi mzee wako akereke, maana 'Kelb' kwa kiarabu ni Mbwa. Labda huyo mswahili alikuwa akikusudia kusema 'Karbu,Karbu' akimaanisha kuwakaribisha kiamboni kwake kila mlipokuwa mkipita. Hizi lugha wakati mwingine mashaka...lol
ReplyDeleteMbavu zangu....jamani! nimechekaje?
ReplyDelete