Kwa heshima kubwa na unyenyekevu,bendi ya muziki wa dansi  "Ngoma Africa Band" yenye makao nchini Ujerumani,inatoa salam maalumu za kuwapongeza,Mama zetu,Dada zetu,Shangazi zetu akina mama wote katika kusherehekea siku ya WANAWAKE duniani, salam hizi maalumu kutoka kwa watoto wenu Ngoma Africa band zina wito kwa walimwengu wote kwa usemi huu"HAKUNA MTAKATIFU au MTUKUFU hapa duniani hasiyezaliwa na MWANAMKE (Mama) " 

Siku ya " WANAWAKE" oyeeee! Oyeeeee!
sikiliza muziki na burudani at www.ngoma-africa.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kamanda jemadari ras makunja na kikosi kizima cha FFU,asanteni sana
    kwa ujumbe wenu huu mzito,kweli hakuna mtukufu wala mtakatifu hapa duniani asiye zaliwa na mwanamke,maneno haya mazito sana

    ReplyDelete
  2. majeshi ya ffu ughaibuni salam zenu zinaonekana na ujumbe mkubwa wenye kutukumbusha binadamu lazima heshima ya kinamama iwe ndio kanuni ya kwanza katika maisha

    ReplyDelete
  3. Maafande wa kikosi kazi ffu ughaibuni aka viumbe wa ajabu ANUNNAKI elien,maneno yenu mazito tena yatufanya binadamu kutafakari sana jinsi mwanamke anavyopaswa kupewa heshima,lakini katika jamii yetu ni kinyume sana na ujumbe wenu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...