Kwa heshima kubwa na unyenyekevu,bendi ya muziki wa dansi "Ngoma Africa Band" yenye makao nchini Ujerumani,inatoa salam maalumu za kuwapongeza,Mama zetu,Dada zetu,Shangazi zetu akina mama wote katika kusherehekea siku ya WANAWAKE duniani, salam hizi maalumu kutoka kwa watoto wenu Ngoma Africa band zina wito kwa walimwengu wote kwa usemi huu"HAKUNA MTAKATIFU au MTUKUFU hapa duniani hasiyezaliwa na MWANAMKE (Mama) "
Siku ya " WANAWAKE" oyeeee! Oyeeeee!
sikiliza muziki na burudani at www.ngoma-africa.com
booking at ngoma4u@gmail.com or contact@ngoma-africa.com
Kamanda jemadari ras makunja na kikosi kizima cha FFU,asanteni sana
ReplyDeletekwa ujumbe wenu huu mzito,kweli hakuna mtukufu wala mtakatifu hapa duniani asiye zaliwa na mwanamke,maneno haya mazito sana
majeshi ya ffu ughaibuni salam zenu zinaonekana na ujumbe mkubwa wenye kutukumbusha binadamu lazima heshima ya kinamama iwe ndio kanuni ya kwanza katika maisha
ReplyDeleteMaafande wa kikosi kazi ffu ughaibuni aka viumbe wa ajabu ANUNNAKI elien,maneno yenu mazito tena yatufanya binadamu kutafakari sana jinsi mwanamke anavyopaswa kupewa heshima,lakini katika jamii yetu ni kinyume sana na ujumbe wenu
ReplyDelete