Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe, akiweka jiwe la msingi kuashiria kuzindua rasmi kisma cha bomba la maji katika kijiji cha Kwadelo Halmashauri Wilaya ya Kondoa Machi 20, 2014 sambamba na maadhimisho ya kilele cha wiki ya maji dunia ambapo kitaifa yana fanyikia Mkoani Dodoma (kulia kwake), Mbunge wa Jimbo la Kaskazini Kondoa Mhe: Zabeini Mhita. kauli mbiu ni uhakika wa maji na nishati.
Profesa.Jumanne Maghembe akipanda mti baada ya kuzindua mradi wa maji.
Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe akimtwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Kwadelo Bi.Hawa Athuman baada ya kuzindua rasmi kisima cha bomba la maji.
Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Enjinia Bashir Mrindoko wakihutubia wakazi wa kijiji cha Kwadelo Halmashauri Wilaya ya Kondoa sambamba na maadhimisho ya kilele cha wiki ya maji dunia ambapo kitaifa yana fanyikia Mkoani Dodoma
wakazi wa kijiji cha Kwadelo Halmashauri Wilaya ya Kondoa wakishuhudia uzinduzi wa mradi wa mji.
wakazi wa kijiji cha Kwadelo Halmashauri Wilaya ya Kondoa wakishuhudia uzinduzi wa mradi wa mji.
Mpaka watu wanapanda miti, kweli miradi ya maji safi na salama ni muhimu. Kama nchi tuendelee kuwekeza, kuimarisha na kuongeza kwa kasi upatikanaji wa maji safi na salama katika kila pembe ya nchi hii.
ReplyDelete