Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Asante Ankal kwa kuweka huu mziki.
    Hii nyimbo ni nzuri sana, nimeipenda. Baada ya kubeba boksi hapa nimefarijika kuusikiliza.

    Nafurahi kuona sanaa yetu imekua sana. Nimewasikilizisha marafiki zangu tunaobeba nao boksi hapa ambao hawajui kiswahili lakini wamefurahi sana na kuburudika.

    Ni vizuri kuwa na vipaji hivi maana na mie naweza kuonyesha kwa wageni kuwa nilikotoka kuna thamani kubwa na naweza kuwaonjesha raha hata kama hawako kwenye nchi yetu ya Dkt. J.Kikwete.

    Asante Ankal, asante Steve R&B, ngoma imetulia saana tu. Ntakuunga mkono nikijua wapi unauza huu mziki kwenye mtandao, siwezi kukutupa kabisa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...