Home
Unlabelled
NEW SONG : STEVE RNB - SHE DANCE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante Ankal kwa kuweka huu mziki.
ReplyDeleteHii nyimbo ni nzuri sana, nimeipenda. Baada ya kubeba boksi hapa nimefarijika kuusikiliza.
Nafurahi kuona sanaa yetu imekua sana. Nimewasikilizisha marafiki zangu tunaobeba nao boksi hapa ambao hawajui kiswahili lakini wamefurahi sana na kuburudika.
Ni vizuri kuwa na vipaji hivi maana na mie naweza kuonyesha kwa wageni kuwa nilikotoka kuna thamani kubwa na naweza kuwaonjesha raha hata kama hawako kwenye nchi yetu ya Dkt. J.Kikwete.
Asante Ankal, asante Steve R&B, ngoma imetulia saana tu. Ntakuunga mkono nikijua wapi unauza huu mziki kwenye mtandao, siwezi kukutupa kabisa.