Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Bukoba Mjini, Balozi Khamis Kagasheki kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Mei 28, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wabunge wa Viti Maalum kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Mei 28, 2014. Kutoka kushoto Josephine Chagulla, Esther Midimu, Christowaja Mtinda na Naomi Kaihula. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)
Picha ya kwanza juu, hadhira imepatwa na butwaa kulikoni??kama vile hawakutegemea kitu flani kutokea machoni mwao au hawaamini wanachokiona.....ama kweli.....
ReplyDeleteViti maalumu naona kama hawana mchango wowote kwa taifa hili, ni politics tu zimewaweka pale ili ku-justify mambo fulani mbele ya uso wa dunia ya kijinsia.
ReplyDelete