Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akitoa maneno ya utangulizi kwa Waheshimiwa Wabunge wakati wa semina ya wabunge wote kwa ajili ya uwasilishwaji wa mapendekezo ya mfumo wa bajeti ya serikali kwa mwaka 2014/2015.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Uhusiano Mhe. Steven Wazira akiwasilisha mwelekeo wa hali ya uchumi kwa mwaka 2014/2015 kwa waheshimiwa wabunge
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum akiwasilisha Mapendekezo ya Mfumo wa Mapato na Matumizi ya serikali kwa mwaka wa fedha 2014/15 kwa Waheshimiwa Wabunge.
Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashilila akisikiliza kwa makini hotuna ya Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum akiwasilisha Mapendekezo ya Mfumo wa Mapato na Matumizi ya serikali kwa mwaka wa fedha 2014/15 kwa Waheshimiwa Wabunge.
Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda, Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Uhusiano Mhe. Steven Wazira wakipitia nyaraka mbalimbali wakati Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akitoa maneno ya utangulizi kwa Waheshimiwa Wabunge wakati wa semina ya wabunge wote kwa ajili ya uwasilishwaji wa mapendekezo ya mfumo wa bajeti ya serikali kwa mwaka 2014/2015.
Wabunge wakifuatilia hotuba kwa makini.
Watendaji wa Wizara ya Fedha wakimsikiliza Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum.
Picha na Owen Mwandumbya
Kuondoa umasikini kunakosemwa na viongozi wetu ni ndoto! Huwezi ukawa na bajeti ya mambo muhimu ishirini (20), hapo utatupatupa huku na huku bila kuwa na tija yoyote! Na kwanini uongeze matumizi wakati hata makusanyo yote hayafikii matumizi ya kawaida? (Recurrent expenditure 14.2trn versus revenue 12trn). Kwa hiyo tunakopa kulipa mishahara! hapa umaskini ni wa kudumu! Na growth rate ya asilimia 7 haiwezi kukidhi hizo ndoto za taifa. Kwa ongezeko la watu kwa asilimia tatu (3), tunahitaji at least 9% ili walahu kuanza kuleta utajiri! Otherwise hakuna chochote, zimekuwa nyimbo tu siku zote!!
ReplyDeleteVIONGOZI WETU MIAKA MICHACHE ILIYOPITA TULIKUWA KWENYE HILI KUNDI. SASA TUNATAKA TUONEKANA KWENYE KUNDI LA NCHI ZENYE MAISHA MAZURI AFRICA.
ReplyDeleteThe following list present the top 15 poorest countries in Africa in 2013, based on their own GDP (PPP)* per capita estimations for 2013, according to data provided from the IMF.
GDP (PPP): Gross domestic product (purchasing power parity)
#1 – Democratic Republic of Congo
GDP (PPP) per capita: $394.25
Population: 75 million
#2 – Zimbabwe
GDP (PPP) per capita: $589.46
Population: 12.6 million
#3 – Burundi
GDP (PPP) per capita: $648.58
Population: 8.7 million
#4 – Liberia
GDP (PPP) per capita: $716.04
Population: 4.1 million
#5 – Eritrea
GDP (PPP) per capita: $792.13
Population: 6 million
#6 – Central African Republic
GDP (PPP) per capita: $827.93
Population: 4.4 million
#7 – Niger
GDP (PPP) per capita: $853.43
Population: 17.1 million
#8 – Malawi
GDP (PPP) per capita: $893.84
Population: 16.4 million
#9 – Madagascar
GDP (PPP) per capita: $972.07
Population: 22 million
#10 – Mali
GDP (PPP) per capita: $1.136.77
Population: 14.5 million
#11 – Togo
GDP (PPP) per capita: $1.145.94
Population: 7.1 million
#12 – Republic of Guinea
GDP (PPP) per capita: $1.162.18
Population: 10 million
#13 – Ethiopia
GDP (PPP) per capita: $1.258.60
Population: 91.1 million
#14 – Mozambique
GDP (PPP) per capita: $1.262.96
Population: 24 million
#15 – Guinea-Bissau
GDP (PPP) per capita: $1.268.46
Population: 1.7 million