Mamia ya wapenzi na washabiki wa klabu kongwe ya mpira wa miguu hapa nchini Simba leo mchana wamejikusanya kwa wingi katika makao makuu ya klabu yao hiyo,kupinga Michael Wambura kuondolewa kwenye orodha ya wagombea kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.Wanachama hao ambao walizunguka jengo hilo na kutaka wapewe sababu za msingi kwanini Wambura ameondolewa huku wakitaka kufanya vurugu lakini vyombo vya usalama waliwahi kufika eneo la tukio na kuweza kuwatuliza wanachama Hao.
Polisi wakiwa wamefika eneo la klabu ya simba ili kuimarisha ulinzi na kuwataka wanachama wa simba kutulia ili wapate majibu kwa kamati ya uchaguzi.
Wanachama wa simba wakiwa wamelizunguka Jengo la klabu yao mchana huu kupinga kuondolewa kwa wambura kwenye uchaguzi wa klabu hiyo.Picha na Sek David
ReplyDeleteDuh...kweli mmewezwa...kero zote za maji, usafiri, foleni, bei juu,wizi mkubwa na mdogo,mbwa mwitu na mengineyo .......wala hayawasumbui...ila hili la ....mshikiki...ama kweli wamepuliziwa moshi wa kijiti...hahahaha....
BURUDANI AMANI,SIASA MACHAFUKO. WEE WA KWANZA VP BWANA KILA KITU UNALETA SIASA. NANI KAKUAMBIA MATATIZO YAKO YANAMALIZWA NA WANASIASA?
ReplyDeleteHoja ya msingi ni kama alikwenda mahakamani, kama ni hivyo adhabu yake inajulikana. Mambo mengine ni kuleta siasa ktk mpira.
ReplyDeletemaneno maneno tu... mbona wengine mpaka jela wakaenda na bado mkawachagua. acheni chuki binafsi mpeni nafasi wambura angalau aenguliwe kwenye kura na si vinginevyo.
ReplyDelete