Mhe. Rais Uhuru Kenyatta akihutubia waKenya jijini Washington Aug 6, 2014
Karibu kusikiliza hotuba ya Mhe. Uhuru Kenyatta alipozungumza na waKenya usiku wa Agosti 6, 2014 kwenye hotel ya Marriott Wardman Park Hotel, jijini Washington DC nchini Marekani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ndio maana wakenya wako mbele.. Kama wao walioko nyumbani wanajua umuhimu wa ndugu zao walioko nje ndio maana wameendelea sana. Mungu Ibariki Kenya na Uifungue na Kuizindua Tanzania na watanzania.

    ReplyDelete
  2. Hata hapa tumeshaamka kama bado yuko aliyelala amwagiwe maji Tanzania tutaiendeleza wenyewe, tukifanya kazi kwa bidii na kufuata taratibu zilizopo. Tunahitaji kupiga vita njia za panya zisizokuwa rasmi ambazo tumeziachia zikithiri katika utendaji.

    ReplyDelete
  3. Michuzi umebania comment yangu kwenye hotuba ya JK.Ninaomba Raisi J Kikwete na wasaidizi Wake wasikilize hotuba ya Rais Kenyatta ni hotuba yenye mwanga na maendeleo na iko chanya. Ndio maana wakenya wako mbali.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...