Home
Unlabelled
Hotuba ya Mhe Rais Uhuru Kenyatta kwa waKenya Washington DC. Aug 6, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ndio maana wakenya wako mbele.. Kama wao walioko nyumbani wanajua umuhimu wa ndugu zao walioko nje ndio maana wameendelea sana. Mungu Ibariki Kenya na Uifungue na Kuizindua Tanzania na watanzania.
ReplyDeleteHata hapa tumeshaamka kama bado yuko aliyelala amwagiwe maji Tanzania tutaiendeleza wenyewe, tukifanya kazi kwa bidii na kufuata taratibu zilizopo. Tunahitaji kupiga vita njia za panya zisizokuwa rasmi ambazo tumeziachia zikithiri katika utendaji.
ReplyDeleteMichuzi umebania comment yangu kwenye hotuba ya JK.Ninaomba Raisi J Kikwete na wasaidizi Wake wasikilize hotuba ya Rais Kenyatta ni hotuba yenye mwanga na maendeleo na iko chanya. Ndio maana wakenya wako mbali.
ReplyDelete