Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi punde,inaeleza kuwa aliewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini,Jaji Mstaafu Lewis Makame (pichani) amefariki dunia mchana huu katika hopitali ya Hospital ya AMI Trauma Center, Masaki jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa kwa matibabu ya maradhi yaliyokuwa yakimsumbua.
taarifa kamili itakuja baadae.
very sad....RIP Jaji
ReplyDeletePoleni ndugu na jamaa msiba mzito
ReplyDeletePOleni kwa familia yote ya Jaji Makame kweli ni huzuni. Mungu aipe familia ya marehemu faraja katika kipindi hiki cha kuondokewa na mpendwa wao.
ReplyDeleteRIP Judge a true stateman
ReplyDeleteInnalillah wa innaillah rajuun
ReplyDeleteRIP JUDGE LEWIS MAKAME!IT'S VERY SAD!
ReplyDelete