Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi punde,inaeleza kuwa aliewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini,Jaji Mstaafu Lewis Makame (pichani) amefariki dunia mchana huu katika hopitali ya Hospital ya AMI Trauma Center, Masaki jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa kwa matibabu ya maradhi yaliyokuwa yakimsumbua.

taarifa kamili itakuja baadae.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. very sad....RIP Jaji

    ReplyDelete
  2. Poleni ndugu na jamaa msiba mzito

    ReplyDelete
  3. POleni kwa familia yote ya Jaji Makame kweli ni huzuni. Mungu aipe familia ya marehemu faraja katika kipindi hiki cha kuondokewa na mpendwa wao.

    ReplyDelete
  4. RIP Judge a true stateman

    ReplyDelete
  5. Innalillah wa innaillah rajuun

    ReplyDelete
  6. RIP JUDGE LEWIS MAKAME!IT'S VERY SAD!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...