Diamond akiwasili kwenye uwanja wa kimataifa wa Dulles muda huu tayari kwa makamuzi ya sharehe ya Uhuru itayofanyika leo Sheraton ya Downtown Silver Spring, Maryland.
Diamond akipungia wenyeji mara tu alipowasili Dulles.
Kutoka kushoto ni Dj Romy Jones, Diamond na mmoja wa waratibu wa sherehe ya Uhuru Bw. Phanuel Ligate
Moses Iyobo, Dj Romy Jones wakiwa uwanja wa ndege wa kimataifa mara tu baada ya kuwasili kwa ajili ya sherehe ya Uhuru itakayofanyika leo Jumamosi Sheraton ya Downtown Silver Spring, Maryland.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Wenyeji hakikisheni vijana hao wanavaa nguo kufuatana na hali ya baridi sasa huko East Coast, USA.
ReplyDeleteMaana naona hapo airport wako karibu vifua wazima huku wenyeji naona wamejihifadhi na nguo rasmi za msimu wa baridi.
Diamond na washikaji wake watapata frost bite, hypothermia hao na huko USA bila bima ya afya wanaweza kukuta bili ni £5,000 kwa mgonjwa mmoja. Hela yote ya onesho ikaishia kulipia gharama za hospitali.
Mdau
Cape Town, Republic of South Africa