Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni yenye makao yake nchi ujerumani,inawatakia kila heri na fanaka wadau wote katika kuadhimisha miaka 51 ya mapinduzi ya Zanzibar,mapinduzi yaliyofanyika 12 Januari 1964 ambayo yaliwakomboa Wanzibari kutoka katika makucha ya Sultan,Mapinduzi yaliyomng'oa Sultan hadi kusahau kilemba kitandani.
Tunawapongeza Wanzabari katika kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu. Amani,Upendo ,Umoja na mshikamano ndio msingi wa maisha bora kwa wanadamu wote.
Yadumu Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar !
Zidumu fikira za waasisi wa mapinduzi !
Mapinduzi haya ni yetu sote watanzania
Tufurahie mapinduzi day kwa muziki mtamu at www.ngoma-africa.com
Ndio FFU bin watoto ya mbwa aka Ngoma afrika band naona hapitwi na mambo hingereni nanyi
ReplyDeleteWakuu wa kazi ffu mnakubalika kila kona
ReplyDeletekwa kazi yenu ya kutuliza ghasia 2015 zidisheni mwendo wa kasi
Maafande wa ffu ak wazee wa bongo tambarare naomba mturushie hewani mp 3 ya ku download free lile songi lenu la bongo tambarare ule ujumbe wenu na mipini iliyotembea ktk songi lile ni tishio
ReplyDelete