Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni yenye makao yake nchi ujerumani,inawatakia kila heri na fanaka wadau wote katika kuadhimisha miaka 51 ya mapinduzi ya Zanzibar,mapinduzi yaliyofanyika 12 Januari 1964 ambayo  yaliwakomboa Wanzibari  kutoka katika makucha ya Sultan,Mapinduzi yaliyomng'oa Sultan hadi kusahau kilemba kitandani.
Tunawapongeza Wanzabari katika kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu. Amani,Upendo ,Umoja na mshikamano ndio msingi wa maisha bora kwa wanadamu wote.
Yadumu Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ! 
Zidumu fikira za waasisi wa mapinduzi !
Mapinduzi haya ni yetu sote watanzania

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ndio FFU bin watoto ya mbwa aka Ngoma afrika band naona hapitwi na mambo hingereni nanyi

    ReplyDelete
  2. Wakuu wa kazi ffu mnakubalika kila kona
    kwa kazi yenu ya kutuliza ghasia 2015 zidisheni mwendo wa kasi

    ReplyDelete
  3. Maafande wa ffu ak wazee wa bongo tambarare naomba mturushie hewani mp 3 ya ku download free lile songi lenu la bongo tambarare ule ujumbe wenu na mipini iliyotembea ktk songi lile ni tishio

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...