Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika jirani na Super Market ya Nakumat.
Baadhi ya wananchi waliofika katika mkutano huo wakimsikiliza Ndesamburo.
Baadhi ya viongozi wa Chadema akiwemo mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi ,Jafary Michael wakimsilikiza Ndesamburo.
Msatahiki Meya wa Manispaa ya Moshi,Jafary Michael akizungumza katika mkutano wa hadhara .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Mwaka huu Moshi kunafukuta Moto, naona yule kijana mvuto wa wananchi Moshi ,Daudi Mrindoko anawataoa jasho kabla ya Oktoba

    ReplyDelete
  2. Hakuna mlichotufanyia Moshi mjini zaidi ya kuzidishia hali ngumu ya maisha kama huyu meya jaffary hawezi kutwambia chochote

    ReplyDelete
  3. hawana lolote la msingi siku hazigandi walijua watabaki milele na kuendelea kutufanya wajinga kila siku mwaka 2015 hatuna haja tena ya kumbandika lebo ya chama mgombea hata aakitoka ccm sisi tutamchagua kama ana mvuto wa kuleta maendeleo Moshi mjini,lakini nyinyi sura zenu kila siku hizo hizo mwaka huu no way

    ReplyDelete
  4. Mwaka huu 2015 wakuu mtatusamehe tumechoshwa na ugumu wa maisha mliotusababishia mtafute biashara nyingine ya kufanya ,hii ya kupeana michongo ya utawala imefika mwisho

    ReplyDelete
  5. Sasa Ndesamburo unachekesha na kutusikitisha sana wewe mwenyewe umetufanyia nini ? hapa mjini,na ahuyo Meya si ndio uoza kabisa

    ReplyDelete
  6. mhe.Ndesapesa hii unayotuletea ni biashara ya kichaa,meya jafary michael kwetu ni jumba bovu,mwaka huu tunahitaji mtu mpya kabisa mwenye uchugu na sisi,tena maswala ya miavuli ya kichama msituletee hatutaki tunataka maendeleo mgombe atoke chama chochote kile kama sera zake nzuri na awe mwenzetu tunamchagua nyie tafuteni biashara ingine

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...