![]() |
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika jirani na Super Market ya Nakumat. |
![]() |
Baadhi ya wananchi waliofika katika mkutano huo wakimsikiliza Ndesamburo. |
![]() |
Baadhi ya viongozi wa Chadema akiwemo mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi ,Jafary Michael wakimsilikiza Ndesamburo. |
![]() |
Msatahiki Meya wa Manispaa ya Moshi,Jafary Michael akizungumza katika mkutano wa hadhara . |
Mwaka huu Moshi kunafukuta Moto, naona yule kijana mvuto wa wananchi Moshi ,Daudi Mrindoko anawataoa jasho kabla ya Oktoba
ReplyDeleteHakuna mlichotufanyia Moshi mjini zaidi ya kuzidishia hali ngumu ya maisha kama huyu meya jaffary hawezi kutwambia chochote
ReplyDeletehawana lolote la msingi siku hazigandi walijua watabaki milele na kuendelea kutufanya wajinga kila siku mwaka 2015 hatuna haja tena ya kumbandika lebo ya chama mgombea hata aakitoka ccm sisi tutamchagua kama ana mvuto wa kuleta maendeleo Moshi mjini,lakini nyinyi sura zenu kila siku hizo hizo mwaka huu no way
ReplyDeleteMwaka huu 2015 wakuu mtatusamehe tumechoshwa na ugumu wa maisha mliotusababishia mtafute biashara nyingine ya kufanya ,hii ya kupeana michongo ya utawala imefika mwisho
ReplyDeleteSasa Ndesamburo unachekesha na kutusikitisha sana wewe mwenyewe umetufanyia nini ? hapa mjini,na ahuyo Meya si ndio uoza kabisa
ReplyDeletemhe.Ndesapesa hii unayotuletea ni biashara ya kichaa,meya jafary michael kwetu ni jumba bovu,mwaka huu tunahitaji mtu mpya kabisa mwenye uchugu na sisi,tena maswala ya miavuli ya kichama msituletee hatutaki tunataka maendeleo mgombe atoke chama chochote kile kama sera zake nzuri na awe mwenzetu tunamchagua nyie tafuteni biashara ingine
ReplyDelete