Home
Unlabelled
artistic impression of the proposed new ubungo intersection
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa hiyo hayo majimbo yaliyojengwa na DART barabarani yataondolewa? Pale ubungo lipo moja na sikuliona hapo. Ujenzi wa aina hiyo inaonekana hapo ndio ulitakiwa tangu mapema. Siyo kujenga mabarabara ya hovyo kwa gharama kubwa halafu mnakuja kubomoa tena.
ReplyDeleteDART project imechukua zaidi ya miaka 3, hii itakamilika in 15 years. Poor planning as always, hatuangalii long terms. Je over weight lorries watadhibitiwa vipi? Au watajenga mzani Mwenge?
ReplyDeleteKwa plan hizo itabidi pia ukaguzi na upasishaji wa vyombo vya barabarani uwe katika kiwango cha hali ya juu mithili ya baadhi ya nchi za wenzetu wafanyavyo, sio tu almuradi mtu ana gari linatembea huku likihanikiza emission mwanzo wa safari hadi mwisho na kuchangia uharibifu wa mazingira. Pia kuwe na emmergence breakdown cover endapo mtu ataharibikiwa ghafla barabarani, viwango maalum vya kuwatahini madereva watarajiwa na adhabu kali kwa madereva watakaokiuka sheria na taratibu husika za barabarani ikibidi hata kufungiwa/kupokonywa leseni zao na kuanza upya hatua kwa hatua kwa kufuata taratibu na kupata leseni mpya. Nadhani vitu kama hivyo vitasaidia sana kuwepo kwa umakini na pia usalama barabarani na kutokomeza ajali za mara kwa mara zinazosababishwa na sheria duni na uzembe wa madereva.
ReplyDeleteSaaaafiii sana! Wachuuzi wa barabarani natumai hawataruhusiwa kuleta bughudha hapo.
ReplyDelete