Home
Unlabelled
Niambie Live Show
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamani nilikuwa nakipenda hiki kipindi ila sasa mmeanza ku bore kweli stori za kina lulu ndo za kuongelea kweli wakati kuna mambo mengi going on Tanzania kwa ajiri ya kulikomboa taifa letu hata chaguzi angalieni topic anyways wanawake kwa udaku ndo hamjambo
ReplyDeletewatu wazima haipendezi kuongelea au kupangia maisha ya watu wengine. Jaribuni kurekebisha maisha yenu kwanza mfanikiwe hapo ndipo muanze kukosoa wengine. Mbona maisha yenu yako worse than ya huyo Lulu na Mengi?
ReplyDeletesasa mnampakazia lulu eti kioo cha jamii nanyie mlokaa mapaja nje tukuiteni nani au kwakuwa nyie mko majuu wacheni hizo....
ReplyDelete