Omby Nyongole, Dotto Maongo na Salma Moshi
Karibu kwenye kipindi hiki cha NIAMBIE LIVE
Kipindi kinachozungumzia mambo mbalimbali yaliyochukua nafasi za juu kwenye mitandao ya kijamii. Pia kupata Tip ya siku / wiki kusaidia kuboresha maisha yako.
Ni Niambie Live....
KARIBU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 03, 2015

    jamani nilikuwa nakipenda hiki kipindi ila sasa mmeanza ku bore kweli stori za kina lulu ndo za kuongelea kweli wakati kuna mambo mengi going on Tanzania kwa ajiri ya kulikomboa taifa letu hata chaguzi angalieni topic anyways wanawake kwa udaku ndo hamjambo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2015

    watu wazima haipendezi kuongelea au kupangia maisha ya watu wengine. Jaribuni kurekebisha maisha yenu kwanza mfanikiwe hapo ndipo muanze kukosoa wengine. Mbona maisha yenu yako worse than ya huyo Lulu na Mengi?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2015

    sasa mnampakazia lulu eti kioo cha jamii nanyie mlokaa mapaja nje tukuiteni nani au kwakuwa nyie mko majuu wacheni hizo....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...