Mkuu
wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi(kulia) akizungumza na wajasiriamali
pamoja na wakazi wa jijini Dar es Salaam waliojitokeza kwenye
makabidhiano ya Ruzuku za Safari Lager Wezeshwa msimu wa nne
yaliyofanyika Viwanja vya Leaders mwishoni mwa wiki.Kutoka kushoto ni
Meneja mahusiano na mawasiliano Tbl, Emma Urio,Mkurugenzi wa taasisi ya
wataalamu wa biashara(TBDS),Joseph Migunda na Meneja wa Bia ya Safari
Lager, Edith Bebwa.
Mkuu
wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi(katikati) akimkabidhi mjasiriamali,
Neema Ulomi Cherehani za kisasa tatu katiaka hafla ya kuwakabidhi ruzu
wajasiliamali waliofuzu vigezo katika program ya Safari Wezeshwa msimu
wan ne.Kushoto ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Edith Bebwa.
Mkuu
wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi(wa pili kushoto) akimkabidhi
mjasiriamali, Frank Mashoko katiak hafla ya kuwakabidhi ruzuku
wajasiliamali waliofuzu vigezo katika program ya Safari Wezeshwa msimu
wanne.Kushoto ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Edith Bebwa.
Tafadhali neno sahihi ni WAJASIRIAMALI
ReplyDelete