Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi(kulia) akizungumza na wajasiriamali pamoja na wakazi wa jijini Dar es Salaam waliojitokeza kwenye makabidhiano ya Ruzuku za Safari Lager Wezeshwa msimu wa nne yaliyofanyika Viwanja vya Leaders mwishoni mwa wiki.Kutoka kushoto ni Meneja mahusiano na mawasiliano Tbl, Emma Urio,Mkurugenzi wa taasisi ya wataalamu wa biashara(TBDS),Joseph Migunda na Meneja wa Bia ya Safari Lager, Edith Bebwa.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi(katikati) akimkabidhi mjasiriamali, Neema Ulomi Cherehani za kisasa tatu katiaka hafla ya kuwakabidhi ruzu wajasiliamali waliofuzu vigezo katika program ya Safari Wezeshwa msimu wan ne.Kushoto ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Edith Bebwa.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi(wa pili kushoto) akimkabidhi mjasiriamali, Frank Mashoko katiak hafla ya kuwakabidhi ruzuku wajasiliamali waliofuzu vigezo katika program ya Safari Wezeshwa msimu wanne.Kushoto ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Edith Bebwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2015

    Tafadhali neno sahihi ni WAJASIRIAMALI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...