FAMILIA YA CHALLY
SHOGHOLO WA SINZA (BABA MDOGO), DAR ES SALAAM WANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO NDUGU
YAO ROSE RAYMOND SHOGHOLO (PICHANI) KILICHOTOKEA JUZI SEPT 9, 2015 KATIKA HOSPITAL
YA MAMA NGOMA MWENGE-KWA PROFFESOR NGOMA
MAZISHI YAMEPANGWA
KUFANYIKA KESHO JUMAMOSI, WILAYA YA SAME KIJIJI CHA KISIWANI
FAMILIA INATOA
SHUKRANI ZA DHATI KWA PROFFESOR NGOMA NA
WAUGUZI WA HOSPITAL YA MAMA NGOMA MWENGE, KWA MOYO WAO NA UPENDO WALIOTUONYESHA
KIPINDI CHA KUMUUGUZA NDUGU YETU
HABARI ZIWAFIKIE
NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI POPOTE PALE WALIPO. LEO SAA 3 TUNAMUAGA NDUGU YETU
ROSE, SINZA SAA 3 ASUBUHI NYUMBANI KWA
BABA MDOGO CHALLY SHOGHOLO SINZA.
BWANA AMETOA BWANA
AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE!!
Poleni sana Mzee na Mama Challi, Eni, John, Frank na wanafamilia wote! mko katika sala zetu. Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya marehemu kwa amani. Japo sidhani kuwa namfahamu marehemu, naona kuna resemblance kati yake na John na dada zake.
ReplyDeleteJirani Sinza(mid-80s to early 90s)