FAMILIA YA CHALLY SHOGHOLO WA SINZA (BABA MDOGO), DAR ES SALAAM WANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO NDUGU YAO ROSE RAYMOND SHOGHOLO (PICHANI) KILICHOTOKEA JUZI SEPT 9, 2015 KATIKA HOSPITAL YA MAMA NGOMA MWENGE-KWA PROFFESOR NGOMA
MAZISHI YAMEPANGWA KUFANYIKA KESHO JUMAMOSI, WILAYA YA SAME KIJIJI CHA KISIWANI
FAMILIA INATOA SHUKRANI ZA DHATI KWA PROFFESOR NGOMA  NA WAUGUZI WA HOSPITAL YA MAMA NGOMA MWENGE, KWA MOYO WAO NA UPENDO WALIOTUONYESHA KIPINDI CHA KUMUUGUZA NDUGU YETU
HABARI ZIWAFIKIE NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI POPOTE PALE WALIPO. LEO SAA 3 TUNAMUAGA NDUGU YETU ROSE,  SINZA SAA 3 ASUBUHI NYUMBANI KWA BABA MDOGO CHALLY SHOGHOLO SINZA.
BWANA AMETOA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Poleni sana Mzee na Mama Challi, Eni, John, Frank na wanafamilia wote! mko katika sala zetu. Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya marehemu kwa amani. Japo sidhani kuwa namfahamu marehemu, naona kuna resemblance kati yake na John na dada zake.

    Jirani Sinza(mid-80s to early 90s)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...