Hali si shwari hivi sasa katika eneo la Bonde la Mkwajuni Kinondoni jijini Dar es salaam, na inaelezwa kuwa hali sio shwari kwani baadhi ya Wananchi wamechoma mataili pande zote za barabara na hakuna gari kupita. Jeshi la Polisi lipo eneo la tukio hivi sasa kukabiliana na tukio hilo ambalo chanzo chake unadaiwa ni baadhi ya vijana wanaodaiwa kuwa walikuwa wakazi wa eneo lililobomolewa ambao wameingia barabarani na kufanya fujo.
Home
Unlabelled
Breaking Nyuzzzzzz: Hali si Shwari eneo la Bonde la Mkwajuni hivi sasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




TUKIWARUHUSU HAO WAHUNI NCHI YETU ITAKUWA KAMA SOMALIA. WAMEVUNJA SHERIA HALAFU BADO WANAHARIBU MIUNDOMBINU YA BARABARA NA KUZUIA WANANCHI WASIO NA HATIA KWENDA KAZINI NA KUHARIBU SHUGHULI ZA BIASHARA. KWA HAO WAHUNI SIYO KUPELEKWA TU MAHAKAMANI BALI WANATAKIWA WACHUKULIWE HATUA KALI ILI IWE FUNZO KUTORUDIA UPUUZI HUU. POLISI JITAHIDINI KUONGEZA NGUVU NA KUZUIA UJINGA HUO.
ReplyDelete