![]() |
Kamishna wa Kodi za ndani,Shogholo Mgonja akijibu hoja za wafanyabiashara mkoa wa Arusha huku Waziri wa Fedha na Mipango,Philip Mpango akifatilia kwa makini . |
![]() |
Kutoka
kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Longido,Ernest Kahindi,Mkuu wa wilaya ya
Monduli,Francis Miti na Mkuu wa wilaya ya Karatu,Omary Kwaang'
wakifatilia miongoni mwa maafisa wa serikali waliohudhuria mkutano. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA. |
Hii mipango ni safi sana. Wafanya kazi wakilipa kodi wajue watafaidika hata wao. Wananchi wengi zaidi watapata huduma na uwezo wa kifedha utaongezeka na watanunua vitu zaidi. Maendeleo yakipatikana hata sekta ya biashara itaimarika. Tunawasihi ninyi wafanya biashara mlipe kodi kwa maendeleo ya nchi.
ReplyDeleteKodi zinazokusanywa pia zitumike zinavyostahili ili wananchi wapate huduma za kijamii.
ReplyDeletePai Naomba serikali iweke policy na sio "kuomba" tu wafanyabiashara kulipa bali iwe wajibu wao kwa mujibu wa sheria. Pia hatua kali zichukuliwe kwa wanaokiuka kulipa kodi iwe mfnayabiasha au mwananchi wa kawaida.
Hatuwezi kujilinganisha na nchi kama Marekani ila huko Marekani huwezi kuwa Raisi kama hujawahi kulipa kodi. Jambo la kwanza kufnaya kabla hujaamua kugombea ni kuangalia kumbukumbu ya malipo yako yote ya kodi.
Tuweke utaratibu huu ili iwe utaratibu na sio "ombi" kulipa kodi.