Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani (Kushoto) akitoa ufafanuzi kwa wanakijiji wa Kilosa Mpepo, Wilayani Malinyi Mkoa wa Morogoro, kuhusu hatua ya Ujenzi wa barabara kuu ya kitaifa (Trunk Roads) ya Mikumi-Mahenge, Lupilo-Kilosa Mpepo hadi Lumecha.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani akitoa ufafanuzi kwa wanakijiji wa Kilosa Mpepo wilayani Malinyi, Mkoa wa Morogoro, kuhusu hatua ya Ujenzi wa Barabara ya barabara kuu ya kitaifa (Trunk Roads) ya Mikumi- Mahenge, Lupilo-Kilosa Mpepo hadi Lumecha.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani akisalimiana na Mmoja wa wazee wa kijiji cha Kilosa Mpepo wilayani Malinyi, Mkoa wa Morogoro mapema kabla ya kuanza mazungumzo na wanakijiji hao.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani (Kushoto), akisikiliza maoni kutoka kwa wananchi wa kijiji cha Kilosa Mpepo katika mkutano na wanakiji hao mara baada ya kukagua barabara kuu ya kitaifa (Trunk Roads) ya Mikumi- Mahenge, Lupilo-Kilosa Mpepo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...