Katika kuadhimisha siku ya hedhi duniani Mariestopes kwa kushirikiana na mwanamitindo Flaviana matata kupitia kampuni ya lavy products watoa elimu na kugawa taulo za kike 270 kwa wanafunzi wasichana shule ya Sekondari Kiembe Samaki A ilioko Unguja.
Lengo la kutoa elimu ni kuondoa unyanyapaa waanaokutana nao wanafunzi wa kike wanapokuwa shuleni na kwenye jamii zao.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...