MTAFITI wa Masula ya KABONI, Tiberius  Mario amesema kuwa Tanzania inauwezo wa kuokoa zaidi ya shilingi bilioni sita (6)  kila mwaka   zinazotumika kuagiza KABONI  ya kuchenjulia Madini nje ya nchi  kwa kutumia kuzalisha bidhaa hiyo inayotengenezwa na vifuu vya nazi ambavyo vimekuwa vikitumika kama malighafi ya kuzalisha mapambo na nishati ya kupikia.

Akizungumza kuhusiana na suala hilo mtafiti wa  utengenezaji  wa bidhaa hiyo nyeti ya kaboni ambayo imekuwa inatumia Zaidi ya mabilioni ya fedha kuigaiza nje ya nchni ikiwemo China na India  Tiberius  Mario ambaye ni mkurugenzi mtendaji wa kamampuni ya uzalishaji wa kaboni  [activated carbon } jijini dar ess laam amesema kwa kutumia kabon hiyo ambayo inatengenezwa kwa vifuu vya nazi {coconut shells} itasaidia kuokoa Zaidi ya  shilingi billioni 15  ambazo utumika kuagiza tani 1530 ambazo zinatumika kuchenjulia madini  katika migodi mbalimbali ya dhahabu nchini.

Aidha Mario ameongeza kuwa changamoto ya mtaji  ambao amebainisha ni shilingi 45 milioni  pamojana   upatikanaji wa baadhi ya vifaa hivyo ikiwemo kifaa cha kisasa cha uzalishaji joto utakao saidia kuzalisha kiwango kinachosadi  kupunguza matumizi ya fedha za kigeni zinazozalisha bidhaa hiyo pamoja na kuongeza ajira kwa vijana kupitia uzalishaji wa bidhaa hiyo nyeti kwa watafutaji na wachambaji wa madini na nibidhaa  isiyona athari yoyote ya kimazingira 

 Kwa sasa Tanzania imekuwa na utafiti mwingi wa kutafuta mwarobaini wa kupunguza  athari za kimazingira  husani kwenye matumizi ya kemikali ambazo zimekuwa zikitumika kwenye migodi mbalimbali na kupelekea kuleta athari kwa mazingira pamoja na viumbe hai ikiwemo mwanadamu lakini kwa kupitia teknolojia hiyo ambayo inafanyakazi kwa asilima  98  ukilinganisha na kemikali.Mtafiti wa Masula ya KABONI, Tiberius  Mario (mwenye tisheti ya kijani)akipoke mfano wa hudi baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika utafiti wa CABONI katika mashindano ya kitaifa ya Sayansi na Teknolojia na ubunifu Makisatu-2022. Mtafiti wa Masula ya KABONI, Tiberius  Mario akifafanua jambo wakati wa mafunzo kwa waandishi wa habari yaliyoandaliwa na Tume ya Sayansi na Teknlojia (COSTECH) jijini Dar es Salaam Mwanzo wa Machi, 2023.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...