KAMPUNI ya Meridianbet leo imefika maeneo ya Kibaha katika Zahanati inayofahamika kama Misugusugu na kutoa msaada wa vifaa mbalimbali vitakavyosaidia kwenye Zahanati hiyo.

Kampuni hiyo kongwe imekua ikijaribu kutatua changamoto mbalimbali ambazo zimekua zikiikabili jamii yake, Hivo leo wameona Zahanati hiyo inayopatikana eneo la Kibaha ndio yenye uhitaji na wakafanikiwa kutoa msaada.

Vifaa ambavyo vimeweza kutolewa leo ni pamoja mashuka, Vyandarua, pamoja na vifaa vingine vya usafi ambavyo kwa namna moja ama nyingine vitaweza kusaidia kwa kiwango kikubwa kwenye Zahanati hiyo.

Suka mkeka wako kwenye mchezo huu mkali wa fainali ya ligi ya mabingwa barani ulaya pamoja na michezo mingine itakayopigwa wikiendi hii. Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

Kaimu wa kitengo cha Mawasiliano na masoko kutoka kampuni ya Meridianbet bwana Abubakar Kulindwa alipata wasaa wa kuzungumza baada kutoa msaada huo “Kwanza kabisa nipende kuwashukuru kwa mapokezi mliyotupatia hapa, Lakini pia ninayo furaha kufanya uwakilishi kwa taasisi yangu pendwa kwa kua sehemu hii ya historia ya kutoa msaada katika Zahanati ambao naamini umegusa utagusa miasha ya wengi”

Haikuishia hapo kwani Mganga wa Zahanati ya Misugusugu inayopatikana katika eneo la Kibaha aliweza kutoa shukrani kwa ambacho kimefanywa na kampuni ya Meridianbet kuwakumbuka na kutoa msaada katika Zahanati hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...