Hoteli ya kitalii ya kilimanjaro iliyokuwa imedumaa kwa zaidi ya mwongo mmoja sasa imeshafunguliwa na ni tishio kwa hoteli zingine. Hivi sasa iko chini ya menejiment ya Kempinski. Kuhsoto kwake kuna minara pacha ya benki ya tanzania (BOT twin towers) ambayo Rais Mkapa kaifungua juzi. Jirani ya twin towers pana jengo la ghorofa saba lilio jirani na IFM linalokarabatiwa kuwa makao makuu ya magereza. mlio ughaibuni msije kuonekana washamba mtaporudi bongo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Picha za bongo ambazo zinaweza kusaidia wanafunzi waelewe maneno pia zinaweza kuonyeshwa hapa http://research.yale.edu/swahili/serve_pages/photouploader_en.php.

    Kwa mfano, ni vema kama picha hii ibandikizwe na ujenzi.

    ReplyDelete
  2. NDIYO, = maana yake: nimekubali! Mengineyo tutamegeana kwenye e-mail kwa sababu sasa hivi nipo bize kuliko Kikwete na mwenzake Mbowe.
    Fidelis MtiMkubwa Tungaraza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...