
Hoteli ya kitalii ya kilimanjaro iliyokuwa imedumaa kwa zaidi ya mwongo mmoja sasa imeshafunguliwa na ni tishio kwa hoteli zingine. Hivi sasa iko chini ya menejiment ya Kempinski. Kuhsoto kwake kuna minara pacha ya benki ya tanzania (BOT twin towers) ambayo Rais Mkapa kaifungua juzi. Jirani ya twin towers pana jengo la ghorofa saba lilio jirani na IFM linalokarabatiwa kuwa makao makuu ya magereza. mlio ughaibuni msije kuonekana washamba mtaporudi bongo.
Picha za bongo ambazo zinaweza kusaidia wanafunzi waelewe maneno pia zinaweza kuonyeshwa hapa http://research.yale.edu/swahili/serve_pages/photouploader_en.php.
ReplyDeleteKwa mfano, ni vema kama picha hii ibandikizwe na ujenzi.
NDIYO, = maana yake: nimekubali! Mengineyo tutamegeana kwenye e-mail kwa sababu sasa hivi nipo bize kuliko Kikwete na mwenzake Mbowe.
ReplyDeleteFidelis MtiMkubwa Tungaraza.