

Miss World Africa Nancy Sumary katua Bongo leo na kulakiwa na mamia ya watu wakiongozwa na Mke wa mgombea urais Jakaya Kikwete, Salma, kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu JK Nyerere hapa Dar. Ngoma, vifijo na nderemo vilitawala wakati uwanja uliposimama kwa muda kumlaki malkia wa urembo wa Afrika toka Bongo. hii ilikuwa ni mara ya kwanza kwa muda mrefu kwa wabongo kucheka kutokana na ushindi wa bara.


sawa, inawezekana ari mupya na kasi mupya ikabadili mambo bongo! mwanzo mzuri
ReplyDelete