Home
Unlabelled
hongera mwanetu...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante sana ndugu Muhidin Issa Michuzi kwa kutuwekea picha za mapokezi ya Malkia wa Afrika. Picha ni za haja tena kali ni hiyo ya mama Salma tuanze kumjua (ila sina uhakika ni mahaba ya siasa au tekniko problemu ilikufanya uichapishe mara mbili, au mbwembwe). Halafu nina uhakika asilimia mia moja utaendelea kutuwekea picha zao (Nancy na Salma).Tuanzage kuwazoea kwani ndio mabadiliko ya enzi haya.
ReplyDeleteMwaipopo mtoto amekukuna.
ReplyDeleteSi haba ndugu 'anonimous'. Ila katu sitaweza hata kufika alipo. Nimepata taarifa nyepesinyepesi eti hata Bongo atakuwa anatembelea kwa kubeep tu. Makazi yake sasa yatakua London. Fani hiyoooooooo!!
ReplyDeleteMwaipopo mbona nimesikia kuwa anakuja Capitol yaani hata hapo huwezi kufika tena?
ReplyDeleteCapitol nitafika lakini kule atakakokuwa yeye kufika ni muhali.Huyo keshakuwa wao, sie akina pangu pakavu tia mchuzi(sio michuzi)yetu macho tu
ReplyDeleteMwaipopo usikate tamaa mapema ndugu yangu jitahidi tu kama mtoto kakukuna
ReplyDelete