Home
Unlabelled
Mambo ya Marangu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nina uhakika mtu mmoja aitwaye Ndesanjo sasa mate yanamtoka kwa kuiona mikungu hii.
ReplyDeleteTunatokwa na mate wengi
ReplyDeleteSio siri hii picha sichoki kuitazama. Nitaiweka ikae kwenye kioo cha tarakilishi yangu.
ReplyDeletendesanjo taralikishi ni monitor?
ReplyDeletejefffffffffffffffff uko wapi mtani?
jamani halafu ndo nchi masikini. hapo ukiuliza mkungu utaambiwa ni shilingi 500!! halafu nimeziona mshare!!! mtumee. kuna kahadithi kamoja kuwa ukienda masama na maza likakupenda ukipikiwa machalari basi njia ya kurudi nyumbani utaisahau. sijui wanayapikaje lakini ila nasikia ni matamu mmno!