Home
Unlabelled
mwaga wino
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hivi siku hizi bongo ukiingia ofisini bado unasaini daftari? halafu ukiingia ofisini unalala! jamani! nadhani namuunga mkono ruguyamheto kuwa watu wapimwe kwa uzalishaji sio kufanya maigizo!
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteVidole nimeshindwa ku-guess. Ila peni hiyo definately ni ile aina ya speedo.
Mark,
Daftari zinabidi zupigwe marufuku. Wafanyakazi wapewe kadi za ku-swipe mlangoni. Halafu data inaingia moja kwa moja kwenye kompyuta ya mshahara. Usipoingia job, hulipwi.
Michuzi,
ReplyDeleteSijui ni vidole vya nani, lakini huyo mwenye vidole hivyo ameandika jina la Kikwete!
Ahsante.
haloo ni yeye kikwete, mie jana kidooooooogooo ilibakie niseme! usisubiri jibu ni yeye!!!
ReplyDeletesemkae, kuswipe ni sawa, lakini kama utaingia ofisini na kulala inakuwaje? kwa sasa hivi kule nyumbani ile wizara ya management na utumishi wa uma wanafanya kitu inaitwa reforms, ambapo sasa hata ajira za serekali ni kwa mikataba! kupimwa kila baada ya kipindi.
anony, sasa si na wewe ufungue blogu? huoni mwenzio mwaipopo kayaoga teyari?
Duu! Watu mna macho! kusoma vimaandishi vile?
ReplyDeleteHapo alikuwa hajaanza kutumia kalamu nyekundu!!!!
ReplyDeleteManojua mambo ya itifaki mnajua kwamba Rais anatumia kalamu nyekundu, mawaziri kijani, sijui makamu wa rais na wanajeshi wanatumia za rangi gani vile?
MWALIMU JK?
ReplyDelete