Trafiki wa bongo ni ba'bkubwa. waweza sema kwa nini baada ya kuangalia picha hii?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Mzee mwenzangu,

    Nilipoiona hiyo picha nikakumbuka jamaa mmoja aliyekuwa anaitwa Septemba kwa sababu alizaliwa Oktoba!

    Jinginewe Mzee umenikosha kwa zile picha za marejeo.

    Halafu lile kosa la kukataa kuweka picha za uchaguzi Zenji nimekusamehe!

    Nisalimie ndugu, jamaa, na marafiki zetu wote.

    Masalaam,

    F MtiMkubwa Tungaraza.

    ReplyDelete
  2. Huyo trafiki, hivi ana kitambi? Maana kitambi ni moja ya sifa kubwa ya kuwa askari wa "usalama" barabarani. Mwanamuziki Fela Kuti alikuwa akiwaita wafanyakazi wa benki maana kazi yao ni kukusanya fedha.

    ReplyDelete
  3. Trafiki huyu nadhani pia ni fundi wa taa za barabarani.Kwani wewe hujawahi kuwaona trafiki wakibonyeza makabrasha ya hizo taa ili ziwake wanavyotaka wao?Sijui siku akipigwa shoti itakuwaje.Kitambi anachokizungumzia Ndesanjo kitatoa nini?Supu,makongoro,chapati na nini?Usijidai kushangaa,kwani hujui mambo ya Salendar Bridge?

    ReplyDelete
  4. Awali, picha hii ilimkumbusha rafiki yangu Septembe ambaye alipewa jina hilo kwa sababu alizaliwa Oktoba. Sababu ya kumbukumbu hiyo ni kwamba ikitangulia nyekundu kati, njano na kijani zitakuwa wapi?

    Masalaamia,

    F MtiMkubwa Tungaraza.

    ReplyDelete
  5. asasa hapo uchochoroni anatafuta nini sio rushwa kweli?

    ReplyDelete
  6. Hii babukubwa traffic light na traffic lights wanaisaidina kazi kwa jinsi madereva wa bongo walivyokuwa vicha ngumu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...