Home
Unlabelled
Bodigadi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyo sisco analindwa nini sasa?
ReplyDeleteNapenda kufahamu hao walinzi wake wanalipwa na nani?
ReplyDeletesamahani kwa ufafanuzi finyu. hawa jamaa ni walinzi wa kujitegemea, hawamlindi cisco. siku hii walikuwa na tenda ya kumlinda miriam makeba alipokuja tumbuiza royal palm, dar. wao hulipwa kutokana na kazi utazowapa, mmoja ni daktari wa meno kitaaluma mwingine ni mwalimu wa mazoezi ya viungo. wako fiti ila sina uhakika kama wanabeba silaha. nimewauliza hawajakubali wala kukanusha. hizo nyuzi sikioni kama secret agents wa bush ni nokia hizi hizi za kawaida.
ReplyDeleteNashukuru michuzi kwa ufafanuzi
ReplyDeleteCisco anaumuhimu gani ameacha mambo zake za Tazara club,maana hiyo ndo sura ya viongozi wetu wa bongo,nchi ikiongozwa na players tutapona nini hatima ya Bongo.Mwulizeni mambo zake na generali Mayunga huko Nigeria alipokuwa afisa wetu wa ubalozi hivi wamerudiana na mkewe au ndio hivyo tena.sitaki kusema mengi ninayo yajua lakini ndugu zangu wajueni viongozi wenu mkiona nchi inateketea mjue tatizo liko wapi.
ReplyDelete