Home
Unlabelled
ziwa la mama
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sasa nimeelewa ndio maana wanasema kuwa ukizaliwa sehemu kama hizo lazima ujue kuogelea. sasa hawa watu mbunge wao ni nani? au wako kwenye jimbo gani?
ReplyDeletecheers
Hivi waazungu hawajataka kununua hicho kisiwa na kukigeuza Tourist resort?
ReplyDeleteMichuzi, picha safi sana. Je hicho kisikwa kinaitwaje?
Hicho ni kisiwa kiitwacho Musira . Kiko umbali wa dakika kama 5 hivi kutoka bandari ya bukoba. Hutumiwa sana na wavuvi au wafanya biashara wa samaki kama makazi ya muda.
ReplyDeleteKAMA HIKO KISIWA HAKIJANUNULIWA MIE NIKO MBIONI KUKUSANYA FEZA NA KWENDA KUKIMILIKI. JE KUNA MTU YEYOTE NAYEJUA KAMA HIKO KISIWA KINAKUA AU KINAPUNGUA?
ReplyDelete