Home
Unlabelled
bongo darisalamu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HapO ubungo Michuzi wala hapajabadilika sana.
ReplyDeleteMzee wa kijijini kwetu kaniambia serikali ya kijiji imeamua kutoa ekari 10 kwa ajili ya mmanga mmoja ambaye atajenga shopping mall kubwa kuliko zote Afrika.
ReplyDeleteHivyo hii hainitishi.
Hapa siyo ile Hoteli iliyokuwa ikiitwa Sheraton?
ReplyDeletesawa na mimi nadhani ni ubungo, maghorofa ya urafiki yale kule nyuma
ReplyDeletekimanzichana, je hiyo mall itakuwa kimanzichana au? - yaani kijiji gani utokacho?
ReplyDeleteMark,
ReplyDeleteNdiyo. Mmanga kasema patakuwa kama Dubai sijui. Mi huko sijafika ila natumaini mambo yatakuwa mazuri.
Hapo ni nyuma ya NIC plaza Ubungo. Bongo we acha tu!
ReplyDeleteUbungo plaza hapana mpinzani.
ReplyDeletetunajenga maplaza wapangaji tunao lakini? miaka 2 iliyopita nilipita hapo,jengo lilikua hivyohivyo tofauti ni kwenye car park kulikua na wamasai kadhaa,no cars or activities 2 prove kuna shughuli inayoendelea,au ulipiga hii picha siku ya sikukuu,au w/end?please advice.
ReplyDelete