enyi wa ughaibuni, mwaweza sema hapa ni wapi?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. HapO ubungo Michuzi wala hapajabadilika sana.

    ReplyDelete
  2. Mzee wa kijijini kwetu kaniambia serikali ya kijiji imeamua kutoa ekari 10 kwa ajili ya mmanga mmoja ambaye atajenga shopping mall kubwa kuliko zote Afrika.

    Hivyo hii hainitishi.

    ReplyDelete
  3. Hapa siyo ile Hoteli iliyokuwa ikiitwa Sheraton?

    ReplyDelete
  4. sawa na mimi nadhani ni ubungo, maghorofa ya urafiki yale kule nyuma

    ReplyDelete
  5. kimanzichana, je hiyo mall itakuwa kimanzichana au? - yaani kijiji gani utokacho?

    ReplyDelete
  6. Mark,

    Ndiyo. Mmanga kasema patakuwa kama Dubai sijui. Mi huko sijafika ila natumaini mambo yatakuwa mazuri.

    ReplyDelete
  7. Hapo ni nyuma ya NIC plaza Ubungo. Bongo we acha tu!

    ReplyDelete
  8. Ubungo plaza hapana mpinzani.

    ReplyDelete
  9. tunajenga maplaza wapangaji tunao lakini? miaka 2 iliyopita nilipita hapo,jengo lilikua hivyohivyo tofauti ni kwenye car park kulikua na wamasai kadhaa,no cars or activities 2 prove kuna shughuli inayoendelea,au ulipiga hii picha siku ya sikukuu,au w/end?please advice.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...