Pauline Zongo, mmoja wa wasichana wachache wanamuziki wenye kupiga ala. Hivi sasa yuko na ToT Plus Band ya John Komba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Nimefurahi kumjua mwanadada huyu anayeimba na kudonoa nyuzi bin nyuzi. Sio tu wanawake wachache wanapiga ala Tanzania pia ni wachache sana ni waimbaji waongozaji kwenye bendi. Wengi ni waitikiaji. Hii ni moja ya athari za mfumo dume...wanawake wanadakia wanayoimba wanaume.

    Mwanamke mwingine anayeimba na kupiga ala ni dada Carola Kinasha.

    ReplyDelete
  2. pauline tunamkubali sana kaka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...